BBC Swahili
Shirika la habari la Uingereza, BBC
Channel is an UNOFFICIAL
Recent Posts
Akiwa na umri wa miaka 96, Huynh Nguyen Thi, bado anaendelea na mazoezi yake yakujiweka sawa.
-
Kila asubuhi saa 5 kamili asubuhi, uhudhuria ukumbi wa wa mazoezi (Gym) au akiwa na mjukuu wake kufanya mazoezi.
-
Ustahimilivu wake umewatia moyo watu wengi nchini Vietnam ambapo video zake zimesambaa mitandaoni.
-
-
-
#bbcswahili#vietnam#mazoezi#afya

Malkia wa urembo wa Miss Universe Nigeria, Chidimma Adetshina, ameibuka mshindi wa pili katika shindano la Miss Universe 2024 lililokamilika Mexico City Jumamosi usiku.
-
Miss Denmark, Victoria Kjaer Theilvig ndiye aliyeibuka Miss Universe mwaka huu 2024.
-
Chidimma Adetshina ambaye awali alishiriki katika taji la Miss Afrika Kusini mwaka huu lakini akajiondoa baada ya kukabiliwa na chuki dhidi ya wageni pia alitawazwa kuwa Miss Universe Africa na Miss Oceania.
-
Licha ya kuwa raia wa Afrika Kusini, kustahiki kwake kulitiliwa shaka kwa sababu baba yake ni Mnigeria na mamake ana asili ya Msumbiji.
-
Ingawa alishika nafasi ya pili katika shindano hilo, Chidimma alipokea mapokezi ya "kifalme" nchini Nigeria, na sifa nyingi kwa ushiriki wake katika mashindano ya urembo, kwenye mitandao ya kijamii na katika vyombo vya habari vya kawaida vya nchi hiyo.
-
-
-
#ChidimmaAdetshina#MissUniverse2024#nigeria#vija#urembo

channel za proxy hapa telegram ziko nyingi saana ila mimi nakuchagulia hizi
1. https://t.me/ProxyMTProto
2. https://t.me/TelMTProto
3. https://t.me/mtpro_xyz
unaweza kujiunga au uka contact poroxy tu na ukaacha kujiunga na channels hizo yote sawa tu

Sleeping Under the Stars with Wildlife | BBC Earth
Go behind the scenes with a crew living in the Okavango Delta, filming big cats day and night. See how they sleep under the stars surrounded by wildlife and navigate the challenges of flooding. Get a glimpse of their truck and life in the wild.
Subscribe: http://bit.ly/BBCEarthSub
Watch more:
Best of BBC Earth 🌍https://bit.ly/BestOfBBCEarth
Best Animal Fights 🥊https://bit.ly/BestAnimalFights
Videos over 10 minutes ⏰https://bit.ly/3SHJCEJ
Planet Earth III 🌍https://bit.ly/PlanetEarthIIIPlaylist
Frozen Planet II ❄️ https:/bit.ly/FrozenPlanetIIPlaylist
Blue Planet II in 4k 🌊https://bit.ly/BluePlanetII4kPlaylist
Welcome to BBC EARTH! The world is an amazing place full of stories, beauty and natural wonder. Here you'll find 50 years worth of entertaining and thought-provoking natural history content. Dramatic, rare, and exclusive, nature doesn't get more exciting than this.
This is a commercial page from BBC...

'Kila wanapogusa ule udongo tulikuwa tunatikitia kama shimo'
Manusura wa mkasa wa kuporomoka kwa jengo la ghorofa kwenye soko la kimataifa la Kariakoo Jijini Dar Es salaam nchini Tanzania wanasema haikuwa rahisi licha ya kuwa walikuwa wanasikia vishindo vya waokoaji.
-
Baadhi yao walikuwa wakiwasiliana kwa simu na ndugu na jamaa zao wakiomba msaada pamoja na kuwaelekeza ni wapi hasa walipo chini ya jengo hilo na ni kwa njia ipi wangeweza kufikiwa kirahisi.
-
Jengo hilo la ghorofa tatu liliporomoka siku ya Jumamosi majira ya asubuhi na mpaka sasa watu 13 wameripotiwa kupoteza maisha huku wengine zaidi ya 84 wakiwa wameshaokolewa na zoezi la ukoaji linaendelea usiku na mchana licha ya ugumu wake kutokana na udhaifu wa kuta na nguzo jengo hilo pamoja na mzigo mzito wa nguo lililoubeba.
-
-
📹@eagansalla_gifted_sounds
#bbcswahili#kariakoo#ajali#daressalaam

https://www.youtube.com/watch?v=-Jwfdi3oSyw

'Kuwa na uhusiano na mtu mwenye maambukizi ni kujinyanyapaa mwenyewe'
-
Doreen Odemba ni binti wa kitanzania anayeishi na VVU kwa mwaka wa 30 sasa, amezungumza na @martha_saranga kuhusu mikasa mbalimbali aliyopitia safari yake ya kuishi na maambukizi ya VVU
-
Unaweza kutazama mahojiano haya kwa kina katika ukurasa wa YouTube wa BBCSwahili
-
-
-
#bbcswahili#waridiwabbc#wanawake#tanzania#afya#vvu

Saved by @InstantMediaBot
'Kuwa na uhusiano na mtu mwenye maambukizi ni kujinyanyapaa'
Doreen Odemba ni binti wa kitanzania anayeishi na VVU kwa mwaka wa 30 sasa, amezungumza na @martha_saranga kuhusu mikasa mbalimbali aliyopitia safari yake ya kuishi na maambukizi ya VVU
Unaweza kutazama mahojiano haya kwa kina hapa hapa YouTube, Tafuta Waridi wa BBC
#bbcswahili#waridiwabbc#wanawake
Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw

https://www.youtube.com/watch?v=t32ckNngOes

Watu watano wafariki baada ya jengo kuporomoka Kariakoo, jijini Dar es Salaam Tanzania, mapema leo.
-
Mpaka sasa zaidi ya 40 wamejeruhiwa katika eneo hilo
-
Shughuli ya uokoaji zinaendelea huku wananchi wakishirikiana na vyombo vya dola ikiwemo jeshi la Zimamoto.
Kuna hofu huenda idadi ya waliofariki ikaongezeka
-
Kwa mujibu wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji walipokea taarifa ya kuanguka kwa Jengo Kariakoo , vikosi vya kamanda zote za Mkoa wa Dar es salaam viko katika tukio hilo na kuendelea na uokoaji.
-
-
🎥@eagansalla_gifted_sounds@munie_noor
#bbcswahili#ajali#kariakoo #soko#daresalaam #tanzania

Turtle Camera Follows Feeding Habits | Animals With Cameras | Earth
A mounted camera allows the team to follow the journey of a turtle, uncovering some surprising behaviour. But more shocking footage quickly shows the necessity of safeguarding for our oceans.
Subscribe: http://bit.ly/BBCEarthSub
#Turtles#Wildlife#BBCEarth
Watch more:
Best of Earth 🌍https://bit.ly/BestOfBBCEarth
Best Animal Fights 🥊https://bit.ly/BestAnimalFights
Videos over 10 minutes ⏰https://bit.ly/3SHJCEJ
Planet Earth III 🌍https://bit.ly/PlanetEarthIIIPlaylist
Frozen Planet II ❄️ https:/bit.ly/FrozenPlanetIIPlaylist
Blue Planet II in 4k 🌊https://bit.ly/BluePlanetII4kPlaylist
Taken from 'Animals With Cameras' (2018)
In this groundbreaking series wildlife cameraman Gordon Buchanan joins forces with scientists and conservationists to place cameras on animals. Together, they make extraordinary discoveries about the lives of some of the planet's most fascinating species.
Welcome to EARTH! The...

Turtle Camera Follows Feeding Habits | Animals With Cameras | BBC Earth
https://www.youtube.com/watch?v=rXuaU2XRx2U

Bei ya bitcoin ilipanda kwa mara ya kwanza, baada ya ushindi wa Donald Trump katika uchaguzi wa Marekani wiki iliyopita.
-
Thamani ya sarafu hiyo kubwa zaidi ya digitali duniani sasa imepanda kwa zaidi ya 80% mwaka huu.
-
-
-
#bbcwashili#marekani#bitcoin#uchumi#uchaguzimarekani2024

Jake Paul na Mike Tyson walikwenda raundi zote nane, huku Paul akiibuka mshindi kupitia uamuzi wa pamoja.
-
Mara tu baada ya pambano hilo, Paul alikuwa mnyenyekevu kuhusu ushindi wake, akisema, “Kwanza kabisa, Mike Tyson ... ni heshima kubwa. Mike, yeye ni mkongwe, nimetiwa moyo naye, na tusingekuwa hapa leo bila yeye.”
-
Tyson alizungumza juu ya uchezaji wake, akisema, “Sikuthibitisha chochote kwa mtu yeyote, ila mimi mwenyewe.” Pia alitoa kongole kwa Paul , akisema, “Yeye ni mpiganaji mzuri sana.”
-
Mike Tyson sasa ameshindwa mara saba kwenye rekodi yake ya kitaaluma.
Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 58, anayeshindana kwa mara ya 59, amepoteza mapambano yake matatu ya mwisho, ingawa mara ya nwisho alipanda ulingoni katika nafasi ya kitaaluma kabla ya usiku wa leo ilikuwa mwaka 2005.
-
Kwa upande wa Paul huu ni ushindi wa 11 Kati ya mashindano 12 aliyowahi kufanya.
-
-
#bbcswahili#michezo#miketyson#masumbwi#ndondi#ngumi🥊🥊🥊

Maeneo mengi katika jimbo la Unity, Sudan Kusini yapo chini ya maji kwa miaka kadhaa baada ya mafuriko ambayo hayajawahi kutokea, ambayo wanasayansi wanasema yamezidishwa na mabadiliko ya tabia nchi
-
BBC Africa Eye imepata ushahidi kutoka kwa mhandisi wa zamani wa kampuni ya mafuta katika Jimbo la Unity, ambaye anaonya mafuriko katika eneo hilo yanapeleka mafuta machafu kwenye vyanzo vya maji.
-
-
-
#bbcswahili#sudankusini#afrikaeye#maji#mazingira

Mr.Romantic and @mc_kapandila INTERVIEW at @bbcswahili
TAG CRUSH WAKO UNGEPENDA SHAIRI HILI LIMFIKIE HAPO KATIKA COMMENT
#kingofpoetry#mkwewamamasamia#mashairi#mashairiyakiswahili#swahilipickuplines#spokenwordpoetry#pickuplines